64 views
3 months ago General
Maandalizi yamekamilika kwa uchaguzi mdogo wa Ol Kalou alhamisi hii, huku tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC ikielezea imani yake ya kuandaa uchaguzi huru, wa haki na wenye uwazi. Haya yakijiri huku vifaa vya kupigia kura ikiwa ni pamoja na mifuko iliyobeba karatasi za kupiga kura vikiwasili katika shule ya upili ya Ol Kalou tayari kwa usambazaji katika vituo 144 vya kupigia kura hapo kesho.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive