10 views
4 months ago General
Serikali imeimarisha juhudi za kuwalinda vijana dhidi ya bidhaa za tumbaku na nikotini kwa kushinikiza sheria kali za udhibiti wa tumbaku. Wizara ya Afya imesema bidhaa mpya za nikotini zimefichua mapengo katika sheria ya sasa, na kusababisha kuwepo kwa mapendekezo mapya ambayo kwa sasa yako bungeni.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive