16 views
5 months ago General
Mwenyekiti mpya wa tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano NCIC aliyeapishwa Dkt. Kepha Nyamweya Omwae, ameahidi kuwahudumia wakenya kwa uadilifu na ujasiri bila upendeleo huku taifa hili linapokabiliwa na kipindi cha taharuki za kisiasa. Askofu Dkt. Omwae alisema hayo leo wakati yeye na makamishna sita waliapishwa, akisema Kenya bado ina makovu ya athari ya migawanyiko ya kikabila na kisiasa, na kwamba umoja wa kitaifa unafaa kudumishwa kwa vyovyote vile.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive