23 views
5 months ago General
Familia moja katika eneo la Kiritiri, eneo bunge la Mbeere Kusini, kaunti ya Embu, inaomboleza kifo cha binti wao mwenye umri wa miaka 27, aliyeaga dunia baada ya kumwagiliwa kile kinachodaiwa kuwa aside. Marehemu Jackline Wanjiru, anadaiwa kushambuliwa Jumamosi asubuhi akiwa kwenye pikipiki ya boda boda akielekea katika soko la Kiritiri.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive